Dkt. Mwinyi amewataka wananchi kuwajibika ipasavyo katika shughuli wanazofanya .

                               STATE HOUSE ZANZIBAR                        OFFICE OF THE PRESS SECRETARY                                           PRESS RELEASE Zanzibar                                                                        January 14, 2022 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuwajibika ipasavyo katika shughuli wanazofanya ili Taifa liweze kufanikisha dhamira ya  kupata maendeleo. Alhaj Dk. Mwinyi amesema hayo katika salamu alizotoa kwa